Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete akizindua Jiwe la msingi la mradi wa Ujenzi wa mabasi yaendayo haraka barabara ya Morogoro leo jijini Dar es Salaam. Ujenzi hua utakao anzia Feli hadi Kimara kwa kuunganisha na barabara ya Kawawa kunzia Magomeni hadi Moroko ni waumbali zaidi ya Km21.
Akifungua Rasmi Jiwe la Msingi wa ujenzi wa barabara hiyo.
Rais Kikwete akiwa kwenye moja ya vifaa vya kisasa vitakavyotumika kujenga barabara hiyo mara baada ya kuzindua jiwe la msingi.
Rais Kikwete akishuka kwenye kifaa hicho ambacho ni maalum kwaajili ya kuwekea lami barabarani.
Vikundi vya burudani navyo havikua nyuma viliungana na watanzania wengine kutumbuiza kwenye sherehe hiyo.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mazingira Teresia Uvisa (wapili kushoto) akiungana na kikundi cha ngoma za asili cha JKT wakati wa uwekaji wa jiwe hilo la msingi.
No comments:
Post a Comment