Zoezi la kufukua Maiti za watu waliofunikwa na kifusi katika Machimbo ya Madini katika Kata ya Nandagala Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi jana limekamilika leo asubuhi huku wakifanikiwa kuzipata maiti zote 7.
Akiongea na mtandao huu,Diwani wa Kata hiyo, Andrew Chikongwe alibainisha kuwa kazi ya kufukua kifusi hicho imechukua muda mrefu kufuatia na kuwepo kwa zana duni za kufukua Mchanga hali iliyofanya kazi hiyo kuwa Ngumu kuanzia jana saa 9 jioni hadi leo asubuhi
Chikongwe aliwataja Marehemu hao ni,
1.CHAKODA 20yrs-DAR ES SALAAAM
2.NYANG'ANA 42yrs-MUSOMA
3.UWESU BAKARI 25yrs-RONDO LINDI
4.MOHAMED OMARY 28yrs-MOROGORO
5.BAKARI RASHID LIGANGA 26-CHUNYU RUANGWA
6.ADAM SAYAI-BUNDA
7.RASHID HAMIS YASSIN-NACHINGWEA
Miili ya marehemu hao.
Vijana wakiendelea kufukua eneo la machimbo hayo ambako maeti zilipatikana.Baadhi ya maiti namna zilivyokutwa kwenye machimbo hukuzingine zikiwa zimekatika katika kutokana na miamba migmu iliyowaangukia.




No comments:
Post a Comment