Waziri wa Fedha
Uchumi na Mipango ya Maendeleo Zanzibar Omar Yussuf Mzee, kwa Upande wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akibadilishana Mikataba baada ya kutiana
saini Ushirikiano wa Kiuchumi na Kiufundi, na Naibu Waziri wa Biashara wa China ZHONG SHAN,kwa
Upande wa jamhuri ya Watu wa China, katika Ushirikiano hayo Zanzibar itapatiwa
RMB 60 Milioni sawa na Fedha za Tanzania 14,8 Bilioni,ambapo fedha hizi
ziatatumika katika kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo.
Waziri wa Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Zanzibar Omar
Yussuf Mzee, kwa Upande wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akitiliana
saini Mkataba wa Mashirikiano ya Kiuchumi na Kiufundi,na
Naibu Waziri wa Biashara wa China ZHONG SHAN, kwa Upande wa jamhuri ya Watu wa
China, katika Ushirikiano huo Zanzibar itapatiwa RMB 60 Milioni sawa na Fedha
za Tanzania 14,8 Bilioni,ambapo fedha hizi ziatatumika katika kutekeleza miradi
mbali mbali ya maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein, akimkaribisha Makamo Waziri Mkuu wa Jamhuri wa Watu wa
China Mhe,Hui Liangyu,mara alipowasili Ikulu Mjini Zanzibar jana.

No comments:
Post a Comment