Kikombe kilichoshindaniwa kwenye michuano ya Kombe la ujirani mwema la Mfuko wa Mashirika ya umma PPF
Wachezaji wa timu ya Afrika Gereji wakipokea kikombe cha ujirani mwema baada ya kuibuka washindi kwenye fainali ya ligi hiyo iliyofanyika kwenye Manispaa ya Lindi baada ya kuifunga timu ya Kusini Soccer Academy kwa 2-1.
Mashabiki wakifuatilia fainali hiyo.

No comments:
Post a Comment