MRADI WA MJI MPYA KIGAMBONI UMEKUA KIVUTIO NCHINI ITALIA KWENYE MKUTANO WA MIJI NA MAKAZI LEO. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, September 3, 2012

MRADI WA MJI MPYA KIGAMBONI UMEKUA KIVUTIO NCHINI ITALIA KWENYE MKUTANO WA MIJI NA MAKAZI LEO.


Spika wa Bunge la Tanzania Anne Makinda (kushoto) akiwa na naibu Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Aridhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Maria Bidila, Balozi wa Tanzania nchini Italia Dk. Alex Msekela na Naibu waziri wa Aridhi nyumba na maendeleo ya makazi Goodluck Ole Medeye, wakibadilishana mawazo kabla ya kuanza kwa mkutano wa 6 wa miji na makazi mjini Napoli Italia leo,zaidi ya nchi 150 zinatarajia kuhudhuria mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here