Mshindi wa shindano la Redds Miss Kinondoni Brigit Alfred Redds akiwapungia mkono
mashabiki walioshuhudia shindano hilo jijini Dar es Salaam jana, kulia ni
mshindi wa pili Diana George Hussein na mshindi watatu Irene David.
Warembo walioshiriki shindano hilo wakiwa kwenye vazi la ufukweni mbele ya majaji na mashabiki wa shindano hilo lililofanyika jijini Dar es Salaam usiku wa jana.Hii sio kiduku ni midundo ya kihindi mshiriki wa shindano hilo Brigit Alfred, akionyesha uwezo wake kwenye kucheza na kuibuka kidedea kwenye kipaji lakini pia aliibuka kidedea kwenye shindano hilo na kuwa Miss Kinondoni 2012.
Mshindi tatu kwenye shindano hilo Irene David akiwa kwenye vazi la jioni.
Hawa ndio washiriki waliofika tano bora kutoka kushoto ni, Judith Sangu, Brigit Alfred,
Diana George Hussein, Irene David na Kudra Lupatu.
Mshindi wa shindano hilo Brigit Alfred akipunga mkono mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa shindano hilo.Mshindi wapili kwenye Shindano hilo Diana George Hussein akiwa kwenye vazi la jioni.
No comments:
Post a Comment