Jeneza la mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa gazeti la Tanzania Daima, Agness Christopher Yamo, likiwa mbele ya waombolezaji ambao wengiwao ni waandishi wa habari wakati wa kuaga leo mchana Buguruni, Dar es Salaam, tayari kwa safari ya mazishi kesho mjini Morogoro. Yamo aliyewahi pia kufanya New Habari 2006 Limited, alifariki dunia jana katika hospitali ya Jeshi, Lugalo, Dar es Salaam, alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Waombolezaji walishindwa kujizuia na kbubujikwa na machozi.
Waombolezaji wakiaga mwili huo.
Waombolezaji walishindwa kujizuia na kbubujikwa na machozi.
Waombolezaji wakiaga mwili huo.




No comments:
Post a Comment