Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na viongozi mbali mbali, alipowasili kufungua Semina ya siku tatu kuhusu Uimarishaji uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za mitaa Wesha Kisiwani Pemba leo.
Baadhi ya Viongozi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa akifungua Semina ya siku tatu kuhusu Uimarishaji Uhusiano baina ya
Viongozi wa kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa,Wesha Pemba leo.

No comments:
Post a Comment