Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiufungua
Mkutano wa Pili wa Ushirika wa Mageuzi ya Kijani ya Afrika { AGRF} unaofanyika katika Ukumbi wa
Mikutano wa Hoteli ya Kimatifa ya Ngurdoto Mkoani Arusha Tanzania.
Rais
wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika
picha ya pamoja na Viongozi mbali mbali wa kimataifa waliohudhuria Mkutano wa
Pili wa Ushirika wa Mageuzi ya Kijani ya Afrika unaofanyika Hoteli ya Ngurdoto
Mkoani Arusha Tanzania.
Baadhi
ya Mawaziri wa SMZ na wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania waliohudhuria
Mkutano wa Pili wa Ushirika wa Mageuzi ya Kijani ya Afrika { AGRF }
KATIKA Ukumbi wa Hoteli ya Kimataifa ya Ngurdoto Mkoani Arusha Tanzania.




No comments:
Post a Comment