Kaazi kwelikweli huu ni mchezi wa baiskeli ya tairi moja kwa tatu ambao mashabiki wa michezo ya sarakasi waliufurahia sana wakati wa maonyesho yanayoendelea kwenye ukumbi wa new world Cinema Mwenge jijini Dar es Salaam.
Wanasarakasi wa kundi la Mama Afrika wakifanya vimbwanga kwenye michezo inayo endelea jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wasanii akionyesha uwezowake kwenye mchezo huo wakubalans uzito kwenye vitu vya mviringo.

No comments:
Post a Comment