Majengo ya Kiwanda pekee cha samaki zamani (Lamko) yakiendelkea kubomolewa badala ya kuimarishwa, kiwanda hicho kilisimama kwa muda mrefu bila ya kufanyakazi.
Eneo ambalo kiwanda hicho kinapatikana ukifika tu utakutana na mabango haya ambapo abiria wachache wa usafiri wa bahari hupenda kupumzika kabla ya kwenda kwenye mitumbwi.
Wachuuzi wa samaki hutarazaki barabarani pichani ni wakazi wa kijiji cha Somanga wilayani humo wakiuza samaki kwa wasafiri waendao Dar es Salaam.
Bei za Samaki huanzia kati ya Tsh500 hadi 5000.
Wachuuzi wa samaki hutarazaki barabarani pichani ni wakazi wa kijiji cha Somanga wilayani humo wakiuza samaki kwa wasafiri waendao Dar es Salaam.
Bei za Samaki huanzia kati ya Tsh500 hadi 5000.
No comments:
Post a Comment