Hapa ni kwenye Ofisi za bandari Wilayani Kilwa na ndio bandarini kwenyewe pamezorota hakuna shughuli yoyote ya maana inayoendelea kwa siku ukiondoa wavuvi wa chache na abiria wasiozidi 100 kwa siku waendao visiwanina kwenye vijiji ambako usafiri wa gari si aghalabu sana kufika. Miaka ya 1980s bandari hii ilikua maarufu sana kwa kusafirisha mazao ya aina mbalimbali na kushusha mizigo lakini kwasasa ni aibu kubwa hata kutembelea kwani hakuna la maana linaloendelea huku watendaji wakila mshahara kama kawaida.
Haya ni maboya ya kuongozea meli baharini yakiwa tayari yamekarabatiwa lakini bado hayajaenda kuwekwa mahala husika na kutelekezwa kwenye bandari hiyo kwa muda sasa.
Haya ni maboya ya kuongozea meli baharini yakiwa tayari yamekarabatiwa lakini bado hayajaenda kuwekwa mahala husika na kutelekezwa kwenye bandari hiyo kwa muda sasa.
No comments:
Post a Comment