Makamu wa pili wa Rais
Zanzibar afanya ziara.
· Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole mtoto Nafdat Mwalimu Kheir aliyelazwa katika
Hospitali ya Makunduchi baada ya kuungua maji ya moto, wakati alipofanya ziara kwenye hospitali mbalimbali mjini Zanzibar.
|
No comments:
Post a Comment