OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI YA ZANZIBAR YAPATA JENGO JIPYA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, September 14, 2012

OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI YA ZANZIBAR YAPATA JENGO JIPYA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa Jengi jipya la Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali,
sherehe hizo zilizofanyika  leo  huko Kilimani Mjini Zanzibar,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Fatma Mohamed Said, baada ya kulifungua
rasmi jengo jipya la  Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, liliopo Kilimani Mjini Zanzibar,hafla ya ufunguzi huo ilifanyika leo na kuhudhuriwa na viongozi mbali mbali,(kulia) Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais wa Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here