JAPAN WAGEUZIA MACHO MIKOA YA KUSINI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, September 14, 2012

JAPAN WAGEUZIA MACHO MIKOA YA KUSINI.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Nachingwea, Arbogast Kiwale ( kushoto) na Balozi wa Japan Nchini Tanzania , Masaki Okada, wakitia saini mkataba wa kusaidia Ujenzi wa Mabweni mawili ya shule ya  sekondari ya kutwa ya wasichana Nachingwea wenye thamani ya dola za marekani zaidi ya laki moja (122,333) Mkataba huo umesainiwa leo mbele ya wabunge wa mkoa wa Lindi,Wakuu wa
wilaya,Wakurugenzi wa Halmashauri huku Mkuu wa Mkoa wa Lindi na Katibu Tawala mkoa akishuhudia.
Wabunge wa Mkoa wa Lindi nao wakishuhudia kuwekwa kwa saini mikataba ya Kusaidia ujenzi wa Mabweni 2 ya shule ya sekondari ya Nkowe wilayani Ruangwa Pamoja na Mabweni mawili ya Shule
ya kutwa ya wasichana Nachingwea.
Wakuu wa Wilaya za mkoa wa Lindi nao hawakuwa Nyuma kushuhudia tukio hilo la msaada wa kuinua kiwango cha elimu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here