SEMINA YA WANASIASA NA WATENDAJI YAENDELEA PEMBA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, September 28, 2012

SEMINA YA WANASIASA NA WATENDAJI YAENDELEA PEMBA.

Sheha wa Shehia ya Pembeni, wilaya ya Wete Pemba, Saumu Ali Hamadi, alipokuwa akiomba kuharakishwa kukamilishiwa shehia yake ipatiwe huduma ya umeme,wakati wa  Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali za Mitaa, unaoendelea Wesha Pemba.

Baadhi ya Masheha na Madiwani wa  Shehia za Pemba wakiwa kwenye Mkutano wa Siku tatu wa Uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji wa Serikali zaMitaa, unaoendelea Wesha Pemba.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here