Mwenyekiti wa bodi ya Kampuni ya Uchimbaji madini ya Tanzaniteone
Balozi Ami Mpungwe, akisoma hotuba kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa duka la
uuzaji wa vito hivyo jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Benki ya Standard charterd Jeremy Awory
akiangalia zawadiyake aliyoshinda baada ya kuchezeshwa droo ya bahatinasibu
wakati wa uzinduzi wa duka la kampuni ya uchimbaji wa madini ya Tanzaniteone
kwenye hafla iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam, kulia ni General Manager
wa kampuni hiyo Jacques Beytell.
Mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya uchimbaji madini ya
Tanzaniteone Balozi Ami Mpungwe (kushoto) na Jaji Mkuu wa Tanzania Othman
Chande (katikati) wakijumuika pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria
uzinduzi wa duka jipya la uuzaji wa vito hivyo jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wageni na wafanyakazi wa Tanzaniteone wakifuatilia hafla hiyo.
Wadau wa raha za Pwani Mr.Khatibu Makenga (kushoto) na Mr. Dotto Medad nao walishiriki kwenye hafla hiyo.
Wafanyakazi wa Tanzaniteone Whitey Mshana (kushoto) na Teddy Kallaghe, wakiwa kwenye duka hilo jipya.
Mr. Haggai Kinyau kutoka Tanzaniteone akiwa na timuyake Lab, kwenye duka hilo.
Baadhi ya viongozi waliohudhuria.
Mandhari ya duka lenyewe kwa nnje.

No comments:
Post a Comment