Miss Ilala 2012, Naela Michael (katikati) akiwa na washindi
wenzake, mshindi wa pili Magdalena Munis (kushoto) na mshindi wa tatu,
Marry Chizi, baada ya kutangazwa washindi katika shindano lao lililofanyika
kwenye Ukumbi wa Nyumbani Lounge, Namanga jijini Dar es Salaam, usiku wa
kuamkia leo.
Washiriki wa shindano hilo, wakicheza shoo yao ya pamoja
ya ufunguzi.
Mbwembwe za ufunguzi.
Mgeni rasmi, Meya wa Ilala Jerry Slaa (wa pili
kushoto) akifurahia shoo hiyo wakati akiwa na wageni waalikwa katika shinano
hilo.
Washiriki wakipita jikwaani na vazi la Ufukweni.
PICHA KWA HISANI YA SUFIANI MAFOTO.






No comments:
Post a Comment