VIJANA MKOANI PWANI WAKIWA KAZINI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, September 4, 2012

VIJANA MKOANI PWANI WAKIWA KAZINI.

 Wajasiriamali wa Kibiti Mkoani Pwani wakisaka wateja wa bidhaa zao kwenye mabasi yaendayo Dar es Salaam na mikoa ya kusini mwa Tanzania.
Mteja alipokolezwa akakolea kiulaini anavuta ungi ndani ya basi ungo mmoja huuzwa kati ya Tsh.3000 hadi 5000.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here