Tigo
yadhamini maonyesho ya sarakasi ya Mama Africa.
Mtaalam wa Promosheni Uhusiano na Udhamini wa kampuni ya Tigo, Edward Shila, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu udhamini wa kampuni hiyo kwenye maonyesho ya Sarakasi ya Mmama Afrika yanayotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kwenye viwanja vya New World Cinema, kulia ni afisa habari wa Tigo Alice Maro. |
Baadhi ya vijambo vitakavyoonekana kwenye maonyesho hayo.
No comments:
Post a Comment