VIKAO VYA JUU KABISA CCM VYAENDELEA DODOMA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, September 23, 2012

VIKAO VYA JUU KABISA CCM VYAENDELEA DODOMA.

 Katibu wa Nec,Itikadi na Uenezi Taifa wa CCM,Nape Nnauye ,akizungumza na Waandishi wa habari leo kuhusu Kufanyika kwa Vikao vya juu vya Chama hicho katika Ukumbi wa White House mjini
Dodoma,vikijadili majina ya wagombea nafasi mbali mbali zikiwemo,Uwenyekiti wa Wilaya na Mikoa na Ujumbe wa Halamashauri Kuu ya Taifa.
Picha na Ramadhan Othman,Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here