YANGA YAONA MWEZI LEO, YAIBAMIZA JKT RUVU GOLI 4-1. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, September 22, 2012

YANGA YAONA MWEZI LEO, YAIBAMIZA JKT RUVU GOLI 4-1.


Mshambuliaji wa Yanga Saidi bahanuzi wakati wa mchezo wao dhidi ya JKT Ruvu kwenye uwanja mkuu wa Taifa jijini Dar es Salaam Said Bahanuzi akimruku golikipa wa timu ya JKT, ambapo yanga ilipata ushindi wao wa kwanza kwenye ligi kuu wa jumla ya magoli 4-1.
Haruna Niyonzima wa Yanga (kushoto) akisaka mpira kwa mabeki wa JKT Ruvu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here