Mshiriki nambari 5 wa shindano la Reds Miss Kinondoni akionyesha uwezo wake wa kuchora kwa kuchora mlima Kilimanjaro wakati wa maonyesho ya vipaji kwa washiriki hao.
Mshiriki nambari 3 Nahma Saidi, yeye alionyesha mambo ya pwani.
Mshiriki nambari 9 Brigitter Alfred akionyesha umahiri wake kwenye kucheza nyimbo za kihindi.

No comments:
Post a Comment