Kuna haja ya serikali kuanza na maandalizi ya Mwanza mpya ya miaka 50 ijayo tangu sasa, maana kwenye jiji kasi ya ongezeko la watu ni kubwa na kukwaza huduma ya usafiri wa barabara hali inayorudisha nyuma maendeleo. Gharama za kulipa fidia kwa wananchi zitakua ngumu kutokana na thamani ya aridhi kuwa kubwa mno. Ikiwezekana barabara za kuzinguka jiji hilo kama inavyoonekana pichani mipangoyake ianze sasa.
No comments:
Post a Comment