HATA HII NAYO MPAKA MAGUFULI? - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, September 22, 2012

HATA HII NAYO MPAKA MAGUFULI?

 Hii ni barabara pekee isiyozidi km 1 Yenye lami Wilayani Liwale Mkoani Lindi  ambayo haijafikisha miaka 2 toka iwekwe lami lakini hali ndiyo Hiyo na TANROADS LINDI Wanajua hali hiyo.
Maendeleo kwa kuungaunga ujenzi wake kilometa moja baada ya miaka minne, lakini uchakavu kila mwaka tutafika?

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here