BREAKING NEWZ ALIKUWA RAIS WA NDONDI ALHAJ SHAABAN MINTANGA AACHIWA HURU. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, October 15, 2012

BREAKING NEWZ ALIKUWA RAIS WA NDONDI ALHAJ SHAABAN MINTANGA AACHIWA HURU.

Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Ngumi Tanzania, Shaaban Mintanga pichani leo ameachiwa huru kwenye kesi iliyokuwa ikimkabili ya mashitaka mawili ya kula njama za kusafirisha dawa za kulevya kutoka Tanzania kwenda Mauritius na kushiriki katika tukio hilo.
Mintanga na wenzake sita waliatuhumiwa kula njama na kusafiriha madawa ya kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya shilingi 120 Milioni kutoka Tanzania kwenda Mauritus ambako timu ya taifa ya ngumi za ridhaa ilikwenda kushiriki mashindano ya pili ya ubingwa wa Afrika.
 

HABARI ZAIDI TUTAWALETEA TIMU YA RAHA ZA PWANI IPO KAZINI.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here