DK.MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA LOGISTIKI AFRIKA JIJINI DAR. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, October 4, 2012

DK.MWAKYEMBE AFUNGUA MKUTANO WA LOGISTIKI AFRIKA JIJINI DAR.

Waziri wa Uchukuzi,Dkt. Harrison Mwakyembe akifungua mkutano wa pili wa Lojistiki Afrika,katika Hotel ya Serena.Mkutano huo wa siku mbili umewakutanisha wataalamu mbalimbali kujadili namna bora ya kuboresha Lojistiki katika sekta ya Usafiri.
Waziri wa Uchukuzi,Dkt  Harrison Mwakyembe akisikiliza kwa makini mada Iliyoeleza umuhimu wa kutumia usafiri wa Reli na namna ambavyo ukitumiwa vizuri unaweza kuongeza pato la Taifa, katika Mkutano wa Pili wa Lojistiki Afrika ulioanza leo jijini Dar es Salaam, mkutano huo wa Siku mbili umewakutanisha wataalamu mbalimbali kutoka Afrika na Nje ya Afrika.Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi,Bw. John Mndogo(aliyevaa miwani),Na kulia kwa Naibu Katibu Mkuu ni Mkuu wa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji,Mhandisi,Dk. Zacharia Mganilwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here