WANAFUNZI WASHUHUDIA TIGO SARAKASI MAMA AFRIKA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, October 4, 2012

WANAFUNZI WASHUHUDIA TIGO SARAKASI MAMA AFRIKA.

Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria onyesho la sarakasi la Tigo Mama Afrika wakishangilia wakati wasanii wa kikundi hicho wakionyesha umahiri wao katika onyesho lililodhaminiwa na Tigo katika Viwanja vya New World Cinema, Mwenge, Dar es Salaam jana. Zaidi ya wanafunzi 1000 kutoka shule za sekondari za Makongo, St Mary na Mama Salma Kikwete walihudhuria.
Mtaalamu wa Biashara na Masoko wa Tigo, Gaudence Mushi (kulia) akizungumza na baadhi ya wanafunzi waliohudhuria onyesho la sarakasi la Tigo Mama Afrika lililodhaminiwa na Tigo katika Viwanja vya New World Cinema, Mwenge, Dar es Salaam jana. Kushoto ni mwalimu wa Shule ya Sekondari Makongo, John Ngowi. Wanafunzi zaidi ya 1000 kutoka shule za sekondari za Makongo, St Mary na Mama Salma Kikwete walihudhuria.
 Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria onyesho la sarakasi la Tigo Mama Afrika wakishangilia wakati wasanii wa kikundi hicho wakionyesha umahiri wao katika onyesho lililodhaminiwa na Tigo    katika  Viwanja vya New World Cinema, Mwenge, Dar es Salaam jana. Zaidi ya wanafunzi 1000 kutoka shule za sekondari za Makongo, St Mary na Mama Salma Kikwete walihudhuria.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here