HATIMAE DK.SHEIN AFUNGA SEMINA YA WATENDAJI NA VIONGOZI WA KISIASA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, October 4, 2012

HATIMAE DK.SHEIN AFUNGA SEMINA YA WATENDAJI NA VIONGOZI WA KISIASA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,DK.Ali Mohamed Shein,pia Mwenyekiti wa Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya  Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, akibadilishana mawazo na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, mara baada ya kuifunga semina hiyo leo, katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort, Nje kidogo ya Mji wa Unguja.
 Wajumbe wa Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya  Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakitoka nje ya ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza kwa mkutano huo leo,Zanzibar Beach Resort, Nje kidogo ya Mji wa Unguja.
 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here