DK.SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA LEO. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, October 9, 2012

DK.SHEIN AFANYA MAZUNGUMZO NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA LEO.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa kwenye mahojiano na Mamlaka ya Vitambulishi vya Taifa kupitia ZBC TV na kutoa wito kwa Watanzania hasa Wazanzibari kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji vitambulisho hivyo, ambapo zoezi hilo  litaanza tarehe 15 mwezi huu, mazungumzo hayo yalifanyika Ikulu mjini Zanzibar leo, (kulia) Mtangazji wa ZBC TV Nasra Nassor. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here