RIPOTI YA MWANGOSI YATOLEWA KWA WANAHABARI LEO - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, October 9, 2012

RIPOTI YA MWANGOSI YATOLEWA KWA WANAHABARI LEO

Makamu Mwenyekiti wa Kamati iliyoundwa na Dk Nchimbi, Theophil Makunga (katikati) akifafanua jambo kwa wanahabari
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kulia) pamoja na wanakamati             wakisikiliza hoja za wanahabari kuhusu ripoti iliyotolewa.
Kamati iliyoundwa kupata taarifa kuhusu vurugu zilizotokea mkoani Iringa na kusababisha kifo cha aliyekuwa mwandishi wa habari wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, Daudi Mwangosi leo imesoma ripoti yake kwa wanahabari katika ukumbi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es Salaam.
Ripoti hiyo iliyosomwa kwa wanahabari na kiongozi wa Kamati hiyo, Jaji Steven Ihema imedai kuwa Nguvu ya Polisi ilikuwa kubwa lakini siyo chanzo cha kifo cha Mwangosi na ripoti kamili haiwezi kutolewa kwa sababu suala lipo Mahakamani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here