MAKAMO WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA KIJIJI CHA BWELEO. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, October 7, 2012

MAKAMO WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA KIJIJI CHA BWELEO.

Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Kijiji cha Bweleo akiwa pamoja na Viongozi wa Kamati ya Uongozi wa Msikiti wa Ijumaa wa Kijiji hicho Bwana Mataka Makame akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi changamoto zinazowakabili Kijijini hapo mara baada ya sala ya Ijumaa.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikagua jingo litakalokuwa Ofisi Kuu ya Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar liliopo Mtaa wa Mombasa                                                          

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here