NDOVU ILIVYO BURUDISHA MASHABIKI WAKE A RUSHA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, October 7, 2012

NDOVU ILIVYO BURUDISHA MASHABIKI WAKE A RUSHA.

Meneja wa bia ya Ndovu Pamela Kikuli, akishuhudia wageni waaalikwa na wateja wakinywaji hicho walipokua wakipokelewa kwaenye tamasha maalum la promosheni ya bia hiyo Mkoani Arusha mwishoni mwa wiki, ambapo wateja wakinywaji hicho walikusanyika pamoja na kuburudika.
Miongoni mwa wateja waliojitokeza walikua raia wakigeni ambao walishiriki kwenye promosheni hiyo.
Msanii wa kundi la Dance Team Africa la Arusha akionyesha mbwembwe zake kwenye kucheza miziki ya aina mbalimbali wakati wa tamasha maalum promosheni ya bia ya ndovu kwa wateja wa kinywaji hicho na wageni waalikwa jijini Arusha mwishoni mwa wiki.
Wasanii wa kundi la Dance Team Africa la Arusha wakionyesha mbwembwe zao kwenye kucheza miziki ya aina mbalimbali wakati wa tamasha maalum promosheni ya bia ya ndovu kwa wateja wa kinywaji hicho na wageni waalikwa jijini Arusha mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here