-->
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania {
UWT } Mkoa Mjini wakiwa katika Mkutano wa Uchaguzi uliofanyika hapo katika
Ukumbi wa Mikutano wa Afiusi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
![]() |
Picha no:- 409 ni Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akiufungua Mkutano Mkuu wa UWT Mkoa Mjini hapo
katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini,kushoto ni Mkurugenzi wa
Uchaguzi wa CCM ambae pia ni Katibu wa Oganaizesheni ya Chama cha Mapinduzi
Taifa Bibi Asha Abdulla Juma na Kushoto ni Mwenyekiti wa UWT Mkoa Mjini Bibi
Samia Mohd Amar.



No comments:
Post a Comment