| Kila mmoja akiwa makini kusikiliza maelezo ya maishamapya ya kambini. |
| Meneja wa Mikutano wa Hoteli ya Giraffe James Philbert akiwafundisha warembo hao namna ya kupiga menyu kwenye mahoteli kama hayo. |
| Hapa sasa wanapiga menyu. |
| Warembo wote wakapiga picha ya pamoja. |

No comments:
Post a Comment