SEMINA ZA KUIMARISHA UHUSIONO WA VIONGOZI WA SIASA NA WATENDAJI ZAENDELEA ZANZIBAR. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, October 2, 2012

SEMINA ZA KUIMARISHA UHUSIONO WA VIONGOZI WA SIASA NA WATENDAJI ZAENDELEA ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi, pia Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abduhamid Yahaya Mzee,wakati alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort,kuiongoza  Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa
Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ikiwa ni siku ya pili. 
Katibu Mtendaji  Tume ya Mipango Bi Amina Khamis Shaaban,akiwasilisha mada ya nne ya Mpango wa Miaka mitano wa Utekelezaji wa Mkuza II,kwenye  Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ikiwa ni siku ya pili.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here