SHEIKH WA UAMSHO APATIKANA AKIWA HAI NI HUYU HAPA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, October 20, 2012

SHEIKH WA UAMSHO APATIKANA AKIWA HAI NI HUYU HAPA.

Kiangozi wa Uamsho Zanzibar Sheikh Farid akiwa na Familia yake baada ya kupatikana akiwa hai ambapo amedai alishikiliawa na jeshi la polisi na kumuhoji maswali mbalimbali kwa sikuzote alipotoweka, wafuasiwake wataka kamanda wa polisi Zanzibar Musa Ally ajiuzulu kwa kulidanganya taifa la Zanzibar kudai halijualiko kiongozi huyo na kusababisha vurugu taarifa zaidi tutawaletea.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here