UMEWAHI KUONA KONDOM ZA UTUMBO? Unajua wapi zilitumika? - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, October 8, 2012

UMEWAHI KUONA KONDOM ZA UTUMBO? Unajua wapi zilitumika?

Nani asiyejua Kondom?
Kondom ya Utumbo wa Nguruwe
Nani asiyejua kazi ya Kondom?
Lakini unajua kifaa hicho ambacho siku hizo husambazwa bure kilianza lini na wapi?
Tarehe yenyewe haifahamiki lakini katika karne ya 15 yaani miaka mia 6 iliyopita kondom zilikuwepo na zilikuwqa zinatumika katika bara la Asia.
Miaka mia sita iliyopita Kondom nchini china zilikuwa nizatengenezwa kutumia utumbo au mbuzi au kondoo.
Matajiri walikuwa wakitumia Kondom zilizotengenezwa kwa karatasi ya hariri iliyopakwa mafuta.
Nako nchini Japan Kondom zilikuwa zikitengenezwa kwa magamba ya kobe au pembe za wanyama . Naama pembe ilikuwa ikivaliwa kama kondom..ni huko Japan, miaka mia 6 iliyopita.
Ni katiuka karne iliyopita , mwaka 1900 kondom zilizotengenezwa kwa utumbo wa mbuzi na kondoo hata utumbo wa ngombe zilianza kuenea duniani.
Enzi hizo ilikuwa inatumiwa kukinga magonjwa ya zinaa na kuzuia mimbia isiyotakikana. Source Bbcswahili.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here