WASHINDI WA MASHINDANO YA KIMATIFA YA MASHUA WAPOKEA ZAWADI ZAO. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, October 8, 2012

WASHINDI WA MASHINDANO YA KIMATIFA YA MASHUA WAPOKEA ZAWADI ZAO.

Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushilla Thomas (wa pili kulia) akiwa na washindi wa kwanza wa mashindano ya kimataifa ya mashua kutoka Uholanzi, Frank De Waared na Gunnar Larsen katika hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi hao iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Washindi wa mashindano ya Kimataifa ya mashua wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa zawadi zao jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Mashindano hayo yalidhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Castle Lite.
Washindi wakipokea zawadi.
Mifano ya mashua zilikuwa ni zawadi za washindi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here