VILA SQUAD WAJIPANGA UPYA KUREJEA LIGI KUU, Waanza mazoezi kushiriki ligi ya Taifa daraja la kwanza. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, October 11, 2012

VILA SQUAD WAJIPANGA UPYA KUREJEA LIGI KUU, Waanza mazoezi kushiriki ligi ya Taifa daraja la kwanza.


Kikosi cha wachezaji wa timu ya Villa squad Fc kikijifua kwa ajili ya kujiandaa na ligi ya Taifa daraja la kwanza, inayotarajia kuanza Octoba 20. Kamera ya raha za pwani ilishuhudia kikosi hicho kikijifua kwenye Uwanja wa Barafu Magomeni Jijini Dar es Salaam leo.
Wachezaji hao wakifuatilia kwa makini mawaidha ya viongozi wao mara baada ya mazoezi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here