KAZI YA KULAZA WAYA WA UMEME CHINI YA BAHARI TOKA ZANZIBAR HADI BARA YAENDELEA VIZURI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, October 11, 2012

KAZI YA KULAZA WAYA WA UMEME CHINI YA BAHARI TOKA ZANZIBAR HADI BARA YAENDELEA VIZURI.

Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (kulia) akipata maelezo kutoka kwa  Naibu Mkurugenzi wa Mradi wa ESBI, pia Mshauri Mwelekezi  wa Mradi wa MCC Johan Swan, wa  Ireland (kushoto) alipofika kuuzindua Ulazaji wa Waya wa Umeme katika ufukwe wa bahari ya Fumba hadi Ras -Kiromoni Tanzania Bara, (wa pili kulia) Balozi wa Marekani Nchini Tanzania  Alfonso
Lenhardt.
Kijiko aina ya Hyundai kikiwa kimezuia Waya wa Umeme kutoka katika fukwe za Fumba,utakaolazwa katikati ya Bahari hadi Ras-Kiromoni Tanzania bara,kazi hiyo itachukua siku kumi na moja,mpaka kumalizika kazi hiyo inayofanywa na  Kampuni ya Viscas kutoka nchini Japan. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here