Baada ya Godbless Lema kushinda rufaayake
jijini dar es salam na kurejeshewa Ubunge huko Arusha kumelipuka furahaambapo makundi mbalimbali ya Vijanayameonekana
yakiranda barabarani na bendera za Chadema wakiwa ni pamoja na waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda
wakipiga honi mji mzima ambapo watu maweacha kufanya shugulu zao na kujadili
ushindi wa mbunge wa jimbo hali ya usalama ni tulivu kabisa.
Kushinda raha bila shaka wanakumbuka 2010 baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi.
No comments:
Post a Comment