KUMRADHI: KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA KUHUSU TAARIFA YA KUPATA DHAMANA KWA MSANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU). - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, December 21, 2012

KUMRADHI: KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA KUHUSU TAARIFA YA KUPATA DHAMANA KWA MSANII WA FILAMU NCHINI ELIZABETH MICHAEL (LULU).


Napenda kuchukua nafasi hii kukanusha taarifa hizo ambazo chanzo changu kilikuwa ni blog ya LIBENEKE LA KASKAZINI , lakini baada ya kufanya juhudi wa kutafuta ukweli wa taarifa hizo hadi sasa hivi bado sijafanikiwa nimeamua kukanusha kwamba Lulu hajaachiwa kwa dhamana hadi pale nitakapothibitisha kutoka mahakamani. Tunaomba radhi kwa usumbufu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here