Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Ubelgiji Nchini Tanzania Koen Adam, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar, kwaajili ya kusalimiana nae. |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Ubelgiji Nchini Tanzania Koen Adam,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kwa ajili ya kusalimiananae. |
No comments:
Post a Comment