Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Korea Nchini Tanzania, Chung Il, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar, kwa ajili ya kujitambulisha.
|
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Korea Nchini Tanzania, Chung Il
,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar, kwa ajili ya kujitambulisha
|
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Korea Nchini Tanzania, Chung Il, aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar, baada kwa
kujitambulisha. |
No comments:
Post a Comment