DAR LIVE UWANJA WA TAIFA WA BURUDANI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, December 26, 2012

DAR LIVE UWANJA WA TAIFA WA BURUDANI.

Watoto wakijiachia ndani ya Dar Live wakati wa sikukuu ya krismas, kabla ya Ndonga za mwaka kuanza kati ya mabondia Mbwana Matumla na David Charanga kutoka Kenya, bondia Mada Maugo na Yiga Juma wa Uganda na Bahati Mwafyela aliyechapana na Chupaki Chipindi. Baada ya ndondi hizo wakali Diamond Platinumz na Ommy Dimpoz wakashusha shoo bab kubwa ndani ya ukumbi huo.

Kutesa kwa zamu saivi zamu yetu jioni zamu yenu.
 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here