MATUKIO YA IBADA YA XMASS MAKANISANI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, December 25, 2012

MATUKIO YA IBADA YA XMASS MAKANISANI.

Askofu Msaidi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam,  Eusebius Nzigilwa  (katikati) akiongoza ibada ya mkesha wa Sikuu ya Xmass katika Kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Paroko wa kanisa hilo, Padri, Joseph Mosha.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa akitoa mahubiri wakati wa ibada ya Xmass.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa akiwa amembeba mtoto, Prisca John Mkony. Kushoto ni Sia Robinson na Jane Mkony akiwa amembeba mtoto, Patricia.
waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph wakiwa katika ibada ya Sikukuu ya Krismas.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here