DK.SHEIN APOKEA TAARIFA YA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR BAADA YA TUME HIYO KUMALIZA MUDA WAKE WA KAZI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, December 27, 2012

DK.SHEIN APOKEA TAARIFA YA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR BAADA YA TUME HIYO KUMALIZA MUDA WAKE WA KAZI.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, (ZEC) Khatib Mwinyichande, akiongoza ujumbe wa Tume hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar, Kumuaga Rais kwa kumaliza muda wa kazi kwa Tume hiyo jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Ripoti ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar, (ZEC) kutoka kwa Mwenyekiti wake Khatib Mwinyichande, alipoongoza ujumbe wa Tume hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,Kumuaga Rais kwa kumaliza muda wa kazi kwa Tume hiyo jana.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here