Wakazi
hao wakiwa na mabango yao yenye ujumbe mbalimbali wakati walipofanya maandamano yao jana kupinga Gesi iliyogundulika Mkoani humo kusafirishwa kupelekwa Dar es Salaam.
|
Mabango kama yanavyosomeka! |
Baadhi
ya wakazi wa mkoa wa Mtwara Mjini wakiwa kwenye maandamano makubwa
waliyoyafanya kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!
|
Waandamanaji
wakiwa wamekusanyika kwenye moja ya uwanja mjni Mtwara wakipinga gesi
kusafirishwa kwenda jijini Dar!
|
No comments:
Post a Comment