HIZI NI SIFA ZA KIJINGA! KWANI DUNIANI KUNA TUZO YA UCHAFUZI WA MAZINGIRA? - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, December 31, 2012

HIZI NI SIFA ZA KIJINGA! KWANI DUNIANI KUNA TUZO YA UCHAFUZI WA MAZINGIRA?

Wakati kila mtu duniani akitamani kupata sifa ama tuzo za heshima juu ya mambo mbalimbali ya kijamii na mengine Manispaa ya Kinondoni wanadhani kuna tuzo ya Uchafuzi wa Mazingira! hapa ni kwenye eneo la kituo cha daladala cha Bakhressa Manzese jijini Dar es Salaam kama palivyokutwa na mpiga pichawetu hii leo.
Pamoja na hali hiyo kuonekana hivyo bado wenye malori nao wamepaki maloriyao wakisubiri kuyakodisha huku wakipata adha ya harufu kali inayotoka eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here